Picha: Barnaba boy wa THT aonesha Gari yake Mpya

Bado huamini kwamba muziki wa bongo sasa unalipa? Kama umejibu ndiyo nakushauri u-update fikra zako sababu wasanii wa miaka ya sasa wamekuwa wakionesha mafanikio ya aina mbalimbali yanayotokana na kazi ya muziki wanayoifanya.

Barnaba wa THT leo ameonesha gari yake mpya kupitia Instagram, Ameionesha gari yake mpya aina ya Toyota Mark X ikiwa bado na chasis namba na kuandika “Oyeaaaaa Thanx Lod imetimia”.



Katika picha nyingine Barnaba a.k.a baba Steve aliandika “New”, na picha ya tatu aliandika “Kaz nzuri na mambo mazuri”.

Previous Post Next Post