Picha: Behind The Scene ya Utengenezaji wa Ngoma Mpya ya Chegge Chapa Nyingine


Msanii wa BongoFlavour Chege Chigunda yupo kwenye maandalizi ya video yake mpya ya wimbo wa Chapa nyingine ikisimamiwa na director Adam Juma.Kwenye hiyovideo kuna watu kama Madee,Temba,Dimaond, Najma, Romie Jones

Chukua Muda Wako kutazama Picha Hizi Chache wakati ukiwa unaisubiria Video Rasmi ya Wimbo Huo







Previous Post Next Post

Popular Items