Baada ya Mil 5 za TPF6 kuchukuliwa na Irakoze Hope Wa Nchini Burundi, na Kuwazidi jOSH NA aMOS

Dr Mitch Alichukua Muda kuamini kutoka kwa sauti ya Host wa TPF6 kuwa ni kweli mshindi aliyetajwa kuondoka na shilingi milioni 5 za Kenya (zaidi ya shilingi milioni 90 za Tanzania) ni yeye, Irakoze Hope.


Akiwa na mshangao na butwaa ya aina yake, Hope wa Uganda alilala chini kuendelea kutafakari ushindi huo uliompa si tu shilingi milioni 90, bali pia mkataba wa mwaka mmoja wa kurekodi chini ya usimamizi wa Sony Music Africa.



Hope akikabidhiwa cheque yake baada ya kuibuka mshindi wa TPF6 Jumapili hii

Baada ya ushindi huo, Hope alitumia ukurasa wake wa Facebook kuwashukuru wote waliomwezesha kupata ushindi huo.

“East Africa what you have done for me i will never forget.Thank you Lord for blessing me with the talent to sing..indeed your ways are Great. TeamHope the BEST fans in the world, thank you! Thank you! Thank you so much.”

Aliongeza tena kwa kuandika: This is still unimagineable to me. Thank you East Africa for this great honour.”

Nafasi ya pili ilienda kwa Wakenya, Amos na Josh, nafasi ya tatu ikaenda kwa Mganda Daisy na Mtanzania Elisha Hisia alikamata nafasi ya nne.

Previous Post Next Post