PICHA: NICKI MINAJ ASHEHEREKEA HAPP BITHDAY YAKE YA KUTIMIZA MIAKA 31 AKIWAKATIKA MAFANIKIO MAKUBWA


Unaweza kumwita First lady wa label ya YMCMB Nicki Minaj "Craizy Girl in Music"amesherekea birthday yake akitimiza miaka 31 na mafanikio ya kujivunia kwenye kazi yake ya muziki.

Party hiyo ikifanyika huko L.A na restaurant nzima ilibadilika rangi yake na kuwa ya pink maalum kwa ajili ya party ya Minaj ambayo ilihudhuliwa na Lil Twist,Safaree boyfriend wa Nicki Minaj na watu wengine.

Nicki aliletewa keki mbalimbali pamoja na stripper pole maalum kwa ajili ya party hiyo.






Keki Iliyoandaliwa Rasmi kwa Ajili ya Birthday ya Nicki Minaji










Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA