PICHA: VICENT KIGOSI AJA NA STAILI MPYA KUANZIA NYWELE MPKA MWILI ZICHEKI PICHA HIZI

Huu ni Ujio Mpya wa Msanii wa Bongo Movie Vincent Kigosi a.k.a Ray kaa Tayari kwa Kitu Kippya kutokana na Picha hizi tunazoziona hapa chini inaelekea kuna Kitu Kipya Kinakuja katika Tasnia ya Filamu Bongo kwa sababu Muonekano Huu sio wa kawaida ka ray ..so sisi kama mashabiki wake tutegemee Movie Mpya kwa maan Tatoo kwa Hands, na Brich kwa Nywele Looking Good au?  anyway  ... Tunaisubili kwa Hamu

Zicheki Hizi hapa Chini Zaidi ....












Previous Post Next Post