PICHA: USAHILI WA NIGHT FASHION OUT 2013 CATING MODEL ILIYOFANYIKA SLIPWAY

Ule Usahili wa kutafuta wanamitindo watakaoshiriki kwenye fashion show iliyoandaliwa na mbunifu wa mitindo wa kimataifa, Rio Paul ambaye hivi karibuni anatarajiwa kuzindua collection yake ya tatu ya mavazi, pamoja na line yake ya viatu, ulifanyika wiki iliyopita jijini Dar es Salaam- Tanzania



Usahili huo ulifanyika Jumamosi ya tarehe 16 November katika ukumbi wa the terrace katika hoteli ya Slipway na ulijumuisha zaidi ya wanamitindo mia moja kati ya hao ni kumi na sita tu ndio walipita.


Hawa Ndio Walikuwa Majaji kuanzia upande wa kushoto ni : Stella ErnEst wa image 360, mbunifu wa mavazi Lucky Peter , mfanyabiashara Amir, CEO wa Gonga Entertainment Frank Mgoyo na director wa Allure international Jacqueline Haider



































Fashion Night Out 2013, itafanyika November 30 na itakuwa ni usiku wa kusherehekea tasnia ya mitindo Tanzania ikileta karibu wadau mbalimbali wa masuala ya mitindo.
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA