Akiwa kama ni Msanii Mkubwa Duniani na Mwenye Mafanikio Makubwa Katika Muziki na Biashara pia,Jay Z Miezi michache iliyopita alipata Mtoto wa Kike Aliyemuita jina la Blue Ivy Carter ambaye kwa sasa anazidi kukua toka alipozaliwa miezi michache iliyopita.
Jay Z amekuwa akitumia muda wake mwingi sasa kuwa na Familia yake Ingawa Biashara na Muziki Vinakwenda kama Kawaida , na katika kunyesha furaha aliyonayo Jay Z aliandika wimbo na kuudedicate kwa Mtoto wake uyo "Blue Ivy Carter" ( see : Jay Z Blue" and "Glory")
Picha Hizi inawezakana zikawa aimepigwa na Mama wa Blue Ivy "Beyonce" Katika Kuonyesha Khali ya Upendo kwa Familia yake.
Zitazame Picha hizi hapa chini..