VIDEO: NICKI MINAJ AKIKATIKA MAUNO KATIKA NYIMBO YA REGGGAE "ATUMIA STAHILI ZA BONGO"

Jana mwanadada alishare kipande hiki cha video kinachoonyesha yeye akiwa na ladies wake wakikata mauno ..ni katika khali ya mazoezi yao ya kila siku. swaga zoote ni kama Bongo ..

Muda mchache baada ya Nick Minaj Kupost Kipande Hicho cha Video likes na comment zilianza kuumiminika ambapo mpaka leo asubuhi imefikia idadi ya watu walio like na ku-comment kufikia
ni kitu ambacho  kimewavutia watu wengi na kuipenda stahili iyo aliyoionyesha Nick Minaj
119508 likes
5932 comments




Hebu Tizama Kipande hiki cha video alafu uniambie ni stahili gani wanatumia kucheza na inatumiwa na watu gani hasa hapa Bongo..


Previous Post Next Post