PICHA: PICHA 5 ULIZOZIMISS KUTOKA INSTAGRAM



"Caption By Diaomond" Am still on the Bottom Son.... who lied to you that am there...? #WCB #Wasafi #Cocaboys


"Caption By Cyril"Kid Cyril anakuambia alikutana nae baada ya kumaliza shooting ya video aliyofanya siku nzuma na ghafla akatokea binti anayekubali kazi zake na kumba kumbato la nguvu na busu kwenye shavu, Good Job Cyril. #Shabiki Wa Kweli #TeamKamy

Shilole Ndani Ya T Shirt Ya Tema Mate Tuwachape



Ilisemekana Kama mwaka moja uliopita wasanii Ney Wa Mitego Na Madee walikuwa na beef kubwa na lilichochewa na mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. Tatizo kati yao lilikuwa ubabe wa nani anaibeba manzese na ndio Rais wa Manzese huku Madee akijiita rais na Ney akisema hakuna Rais Manzese.



Siku zilivyo zidi kwenda walionekana kwenye show tofauti wakiwa pamoja na kupiga show kwenye jukwa moja bila tatizo. Interviews kwenye radio kuhusu ugomvi wao zilipungua na picha zao wakiwa pamoja zika samba, Kwa sasa hawa jamaa ni mabeste kinoma. #Good
Previous Post Next Post

Popular Items