Mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani, Lebron James amezindua viatu vyake vipya vya mpira huo (Nike LeBron X1) kwa kushirikiana na kampuni ya Nike, na kutengenezewe pia Lamborghini Aventador inayofanana na rangi ya ndani ya viatu hivyo.
Tags:
Sports