UPCOMING EVENT: DIAMOND KUFANYA SHOO IJUMAA HII NCHINI CHINA NDANI YA RICH CLUB ILIYOKO "GUANGZHOU "




Hivi karibuni Raisi wa wasafi Diamond aliandamwa   yakiwemo na  Website na Blogs nyingi kutokana na Picha zake alizoppiga na wema sepetu kuleta Mantiki Tofauti kwa watu tofauti

Diamond alifunguka na kuongela juu yakuvuja kwa wimbo wake wa "kama nikifa kesho" Diamond aliongea na Kulaani Mtu aliyevujisha wimbo huo .. na aliandika kupitia mitandao mingi ya kijamii naliandika hivi " Kuvujisha kwako nyimbo zake kunamwongezea umaarufu na kumpatia shoo nyingi .


So  hiii ni oja wapo ya shoo alizonazo toka atoke katika misala hiyo na Kwa mara ya kwanza kabisa mjini CHINA town ndan ya GUANGZHOU ur PREZIDENT wil b rockin down n
show u how to dance ngololo live n direct...this friday 18/oct/20023 at RICH CLUB...WCB beibeee..for life








Previous Post Next Post