PICHA:BEHIND THE SCENE YA UPCOMING VIDEO YA MSANII TWALIBE"THE NEXT LEVEL BOY" TAYAYA

Anaitwa Twalibe a.k.a The Next Level Boy ambaye anakuja kwa kasi katika tasnia hii ya muziki wa BongoFlavour,ameshafanya ngoma kibao ambazo tayari ziko kwa media  na unapomongelea Msanii Twalibe katika   Muziki wa BongoFlavour unaongelea "Next Leel Boy Kwani utunzi wake na jnsi anavyoimba na anavyojua kulitawala Jukwaa ni kitu kingine katika Tasnia ya Muziki wa bongoFlavour ...Najua Kuna Competition Kubwa ya Wasanii wa Muziki Huu wa BongoFlavour lakini nilipozungumza na Twalibe Kuhusu ni jinsi gani amejiandaa ili kuweza kuuteka Muziki wetu... alinijibu" NIMEJIANDAA VIZURI SANA NA GEMU HII KWANI NATAKA KUFANYA VITU TOFAUTI KIDOGO KWANI WATU WENGI WAMEZUNGUMZIA UTOFAUTI BUT MIMI NATAKA KUULETA UO UTAFAUTI SIO KWA MANENO TU BALI VITENDO"..Baada ya Majibu hayo kutoka kwa Msanii Twalibe niliamua kushare picha hizi ambazo zinaonyesha vipande vichache vya video hiyo ya TAYAYA
Audio ya Wimbo Imefanyika na Producer Pino Man na Video Imefanyika na Fece Production  Chini ya Director Fece

Chukua muda wak wa kuweza kuzitazama picha hizi Hapa Chini...













Baadhi ya Video Queen wa Video ya TAYAYA

Hiki ndicho Kipande Cha Video ya TAYAYA Inayokuja Hivi Karibuni




Previous Post Next Post