PICHA: WATUHUMIWA 13 WALIOKUTWA WAKIFANYA MAZOEZI YA AL-SHABAAB NA AL-QAEDA

Vijana wa kitanzania wapatao 13 ambao walikamatwa na jeshi la polisi Mtwara Mara baada ya Jeshi la Polisi kupata taarifa kwamba Vijana Hawa walikua wakifanya mazoezi ya kivita kwa kutumia CD za Al Qaeda na Al Shabaab ambapo Polisi waliwakamata wakiwa  na hizo CD pamoja na silaha mbalimbali kama ushahidi..

Picha hizi chini zinawaonyesha mara baada ya kufikishwa mahakamani kwa mashtaka yao








Taarifa ya jeshi la Polisi leo imesema kuwa , vijana hawa walipelekwa Mahakamani na watarudishwa tena tarehe 4 November 2013.

Previous Post Next Post

Popular Items