CHADEMA aka vidole viwili inazunguka kwenye mishipa ya damu ya rapper mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu na ndio maana nyumba yake imepigwa rangi ya khaki.

Ameipa jina Khaki House. Mbunge huyo ameshare picha ya nyumba yake kwenye Facebook na kuandika: Home : I call it ‘Khaki House’…