Hizi ni Picha zinazoonyesha Jinsi Jukwaa la Serengeti litakavyokuwa na Hapa Likiwa katika Maandalizi ya mwishomwisho...
Show ni Jumamosi hii Pale LeadersClub ambapo zaidi ya wasanii 40 wa Tanzania watatumbuiza pamoja na wasanii wa nje kama Davido, Alaine, Iyanya, J-Martins na Mohombi.