PICHA: DAVIDO AWASILI DAR ES SALAAM NA ULINZI MKALI

Mnaigeria Davido ametua jijini Dar es Salaam akiwa na ulinzi mkali wa mabaunsa takriban wanne walioshiba. Akiwa na kofia, miwani nyeusi na kibegi mgongoni kama mtoto wa shule, Davido alitua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere saa tano usiku Jana.

Davido akihojiwa na Clouds TV
Baada ya kutua uwanja wa ndege wa JK Nyerere Davido Alipokelewa na Waandishi wa Habari wa Kina Media ambao walifika kutaka kujua mawili matatu kabla ya shoo
Davido alitweet kitu kizuri muda mchache Baada ya Kutua Tanzania




Hitmaker huyo ni mmoja wa wasanii wa kimataifa watakaotumbuiza Jumamosi hii kwenye Serengeti Fiesta ya Dar es Salaam itakayofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club.

Davido akiwasili JNIA


Davido na kibegi chake mgongoni



                              Walinzi wa Davido wakihakikisha hali ni shwari


Image Credit via: Bongo5 
Previous Post Next Post