Kutoka Times FM 100.5, Kipindi cha The Switch kuja kivingine kuanzia November, 2013

Wale wasikilizaji wa Times Fm Kaeni Mkao wa Kua kwani Kuanzia mwezi November, 2013, ile show kubwa na kali ya weekend ‘The Switch’ inayoruka kila Jumamosi kuanzia saa sita mchana kupitia 100.5 Times FM, itakuja kwa style mpya.



“Tegemea masaa manne yenye burudani ya kutosha, story za mastaa wa mbele na Afrika kwa ujumla, shoutouts na ratiba zenye uhakika za kula bata. Captain of the Cool Kids ”Cnda King” presenter wa show hiyo kubwa atakujuza zaidi kupitia mitandao yake ya kijamii na hapa pia. Fuatilia yatakayojiri kupitia @cndaking kwenye Twitter na Instagram,” amesema Cnda kwenye maelezo yake.

Cnda
Previous Post Next Post