Video: Namna ‘Gangnam Style’ ya PSY ilivyompa Jacky Wolper aka ‘Wolper Gambe’




Jacqueline Wolper alipewa aka yake anayoitumia sasa ya Wolper Gambe na mdogo wake ambaye baada ya kusikia hit ya hitmaker wa Gangnam Styke, Mkorea, PSY. Mtazame hapa akisimulia na pia akieleza filamu zake mpya zijazo.



Previous Post Next Post