Video: Hatimaye Kanye West ajibu diss ya Ray Jay



Kufuatia mwimbaji wa R&B Ray J kumdiss ex wake Kim Kardashian na Kanye West katika single yake ‘I Hit it First’ miezi kadhaa iliyopita, Kanye hakuwa amejibu mashambulizi hayo mpaka Jumatatu ya wiki hii (September 9) alipotumbuiza kwa kushtukiza katika show ya “Late Night With Jimmy Fallon”.








Kanye aliperform wimbo wake wa ‘Bound 2’ unaopatikana kwenye album yake mpya ‘ Yeezus’ na kubadili baadhi ya mistari ambayo ni diss kwa Ray J ambaye pia ni kaka wa mwimbaji Brandy Norwood, aliyemuita ‘dada wa Brandy’ katika diss hiyo.
Mistari hiyo inasema “Brandy’s little sister lame, man, he know it now…..When a real brother hold you down you supposed to drown.”
So hii inaashiria kwamba kwa kipindi chote hicho sio kwamba Kanye alikuwa amesahau lakini alikuwa tu hajaamua kumjibu Ray J 
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA