Shirika la ndege la Kenya ‘Kenya Airways’ linatarajia kupokea ndege mpya ya Boeing 777-300ER mwezi ujao (October) ikiwa ndio ndege kubwa zaidi ya shirika hilo ambalo pia hufanya safari za kuja Tanzania.

Boeing 777-300ER ina uwezo wa kubeba abiria 400.
Tazama picha za ndege hiyo ikiwa kiwandani wakati wa inaundwa maalum kabisa kwaajili ya Kenya Airways






Picha: Nairobi Wire
Tags:
Photos