Linah Sanga ameamua kubadili mandhari ya video zake na kuamua kutumia nafasi aliyokuwa kwenye Fiesta mkoani Shinyanga kushoot video ya wimbo wake ‘Tumetoka Mbali’ huko. Linah alisema video hiyo ambayo ipo katika hatua za mwisho za utengenezaji itatoka hivi karibuni baada ya kampuni ya Redline Production kuikamilisha. Tazama picha za utengenezaji wa video hiyo.

Producer Peter Mbogo kutoka Redline production akiandaa kamera kwa kazi


Watoto wa Shinyanga walitokezea kwenye kamera




Linah akiwa kwenye gofu katika utengezaji wa “Tumetoka mbali” video








Image Credit via: Bongo5