Lady Jaydee, Octopizzo, Fally Ipupa, M.I. kuja na project kubwa ya pamoja


Wasanii mbalimbali wa Afrika wapo jijini Nairobi Kenya ambako watahusika kwenye project kubwa ya pamoja.


Lady Jaydee akiwa na rapper Octopizzo wa Kenya

Jana Octopizzo alishare picha Instagram akiwa pamoja na Lady Jaydee na kuandika: With @jidejaydee Tanzania working on Africa’s Biggest Project coming to ur screens soon.”


Picha kutoka kwenye ukurasa wa Facebook wa Lady Jaydee akiwa na Octopizzo

Pia Octopizzo alishare picha nyingine akiwa na rapper M.I. wa Nigeria na kuandika: With my brother @MI_Abaga from Nigeria on that African Revolution Project.

Pamoja na hizo Lady Jaydee pia alishare picha nyingine akiwa na member wa zamani wa kundi la Blue la Uganda, Lilian Mbabazi. Bado haijajulikana project hiyo inahusu nini.
Previous Post Next Post

Popular Items