Picha Coming Soon: Rose Ndauka, Hemed Suleiman, Timbulo katika ‘World Of Benefit’



Hii ni cover ya filamu mpya ‘World of Benefit’ ambayo imechezwa na mastaa wa Bongo Movie akiwemo Rose Ndauka, Hemed Suleiman aka PHD, Awadh Saleh, Ahmed Ulotu pamoja na msanii wa bongo flevah Aly Timbulo. Inatajajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi huu.

Previous Post Next Post