Kutoka Kwa Obama: Justine Bieber amshirikisha Chris Brown kuchora Graffiti


justin-bieber-chris-brown-spray-paint-half-pipe-instagram-watermark__oPt


Baada ya kushirikiana kwenye wimbo wa NEXT TO YOU, Justine Bieber aamua kukshirikisha mshkaji wake Chris Brow kwenye sanaa ya uchoraji Graffiti. Chris Brown Alishirikishwa na Justine Bieber  kuchora nusu ya ubao wa pipe kwa ajili ya kuchezea mchezo wa Skateboard na marafiki wawili hao waliamua kupoz na kupiga picha juu ya pipe hio waliochora pamoja na kupost picha hio Instagram



Previous Post Next Post