Jay Z na Beyonce waongoza list ya Forbes ya mastaa wapenzi/wanandoa wanaoingiza mkwanja zaidi – 2013



Jay Z na Beyonce hawakamatiki. Kwa mujibu wa orodha ya mwaka huu ya Forbes iliyotoka leo ya mastaa wana ndoa ama wapenzi wanaoingiza mkwanja zaidi mwaka 2013.

Kwa pamoja, kuanzia June 2012 hadi June mwaka huu wameingiza dola milioni 95.


Nafasi ya pili imekamatwa na Tom Brady na Gisele Bundchen ambao kwa pamoja katika kipindi hicho waliingiza dola milioni 80.


Bundchen ambaye ndiye model anayelipwa fedha nyingi zaidi duniani amemzidi mume wake huyo mchezaji wa football kwa kuingiza dola milioni 4 zaidi yake.

Nafasi ya 3 imekamatwa na Angelina Jolie na Brad Pitt ambao kwa pamoja wameingiza dola milioni 50.


4. Ashton Kutcher and Mila Kunis – dola milioni 30


5. Kanye West and Kim Kardashian – dola milioni 30

Previous Post Next Post

Popular Items