Google imeomba msaada kutoka kwa watafsiri wa lugha za kiafrika ili kuboresha huduma yake ya kutafsiri lugha ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuongeza lugha mbalimbali kutoka mabara yote kwenye huduma zake za tafsiri za mtandaoni.
Hili ndio tangazo lililotolewa na Google kupitia blog yake wiki hii “Hello Africa, we need your help with evaluating translation quality for some of our ‘promising’ African languages,”.
Waombaji wanaombwa kutembelea links zilizotolewa katika blog ya Google na kujaza fomu.
Tags:
Technology