BARCLAYS YAZINDUA UDHIBITI WA VIHATARISHI KATIKA USIMAMIZI WA FEDHA NCHINI






Mkurugenzi Mtendaji wa Banki ya Barclays Tanzania Kihara Maina akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Wizara ya Fedha na Uchumi Dkt. William Mgimwa katika hafla ya uzinduzi wa udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha (Risk Management Solutions).Uzinduzi huo uliyofanyika jana kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.



Mgeni Rasmi Waziri wa Wizara ya Fedha na Uchumi Dkt. William Mgimwa akiongea na viongozi, wawezeshaji na wateja wa Benki ya Barclays Tanzania wakati wa hafla ya uzinduzi wa udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha (Risk Management Solutions) iliyofanyika jana kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.



Mjumbe wa bodi ya benki ya Barclays Tanzania Fatma Karume (kulia) akisisitiza na kufurahia jambo alipokuwa anaongea na Mgeni Rasmi (hayupo kwenye picha) wakati wa hafla ya uzinduzi wa udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha (Risk Management Solutions) iliyofanyika jana kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mjumbe wa bodi ya benki hiyo Suleiman Mohamed.



Baadhi ya washiriki wa semina ya udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha (Risk Management Solutions) wa Benki ya Barclays wakihudhuria hafla ya uzinduzi huo uliofanyika jana kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Previous Post Next Post