Audio: Diamond ajibu tuhuma za kutumia beat ya Dayna na chorus ya Baba Levo, scandal ya kuzaa na denti mengine







Hatimaye Diamond Platnumz leo amejibu tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabali ikiwemo ile ya Dayna Nyange kudai kuwa alitumia beat ya wimbo wake kurekodi wimbo wake unaotamba sasa, Number 1 na pia kuhusu Baba Levo kudai Diamond alimuibia chorus ya wimbo wake. Katika mahojiano na kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond pia amejibu scandal kuhusu kumzalisha mwanafunzi iliyoandikwa na magazeti wiki iliyopita. Msikilize hapa akijibu.

Sikiliza Hapa Chini.....


Previous Post Next Post

Popular Items