Picha: Sikukuu ya Iddi El Fitr Ilivyosheherekewa Jana Katika Fukwe za Coco Beach Dar





Wakazi wa Maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam,wakiwa katika Fukwe ya Kawe Beach ikiwa ni katika kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitr ilioadhimishwa jana Duniani kote,mara baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.


Watoto wakiogelea kwa raha zao.



Wengine waliendelea kuwasiliania na wenzao kwa kuwadolishia raha wazipatazo katika fukwe ya Coco Beach jijini Dar. 


Jamaa wakimuangalia mwenzao akipiga mbizi majini.


Wafanyabiashara ndogo ndogo jana ilikuwa ni neema kwao.


Maalim nae hakuwa nyuma kuuza mishkaki.



Wengi walifika kupunga upepo pia.


Wengine wakipata taswirazz.

 
Wengine walikuwa wakipata vilaji vyao kwenye vibuyu.






Mambo ya Kudive pia yalipewa nafasi katika fukwe ya Coco Beach,jijini Dar.




Previous Post Next Post

Popular Items