Picha: Shoo ya Jose Chameleon Ndani ya Escape One Iliyofanyika i Usiku wa Kuamkia Leo





Msanii kutoka Uganda, Joseph Mayanja, maarufu kama Jose Chameleone, akiwapagawisha amlefu ya mashambiki waliohudhuria tamasha la Valuvalu katika ukumbi wa Escape Complex jijini Dar es Salaam, Jumamosi. Tamasha hilo liliandaliwa na kampuni ya Prime Time Promotions na kudhaminiwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania.


Msanii kutoka Uganda, Joseph Mayanja, maarufu kama Jose Chameleone, akiwa na baadhi ya mashambiki kwenye jukwaa ambao walihudhuria tamasha la Valuvalu katika ukumbi wa Escape Complex jijini Dar es Salaam, Jumamosi. Tamasha hilo liliandaliwa na kampuni ya Prime Time Promotions na kudhaminiwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania.


Maelfu ya mashambiki was muziki wakifurahia nyimbo wakati wa tamasha la Valuvalu lililofanyika kwenye ukumbi wa Escape Complex jijini Dar es Salaam, Jumamosi. Tamasha hilo liliandaliwa na kampuni ya Prime Time Promotions na kudhaminiwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania. Msanii kutoka Uganda, Joseph Mayanja, maarufu kama Jose Chameleone, ndiye aliyekuwa msanii rasmi wakati wa tamasha hilo.
Previous Post Next Post