Picha: Umati Mkubwa wa watu ukifuata msafara wa Ommy Dimpoz ndani ya Burundi




Ommy Dimpoz licha ya kukwama kwa muda kidogo kwenye Airport ya Jomo Kenyatta, hatimaye aliweza kufika nchini Burundi na kufanya show. Baada ya kufika Burundi, njiani kuelekea kwenye show alifuatwa na kundi kubwa la watu nyuma na pembeni ya gari lake na yeye akiwapungia mkono. Cheki hii picha kutoka kwake mwenye Ommy Dimpoz


Previous Post Next Post