Picha: Prezzo anavyozitumia $$$ Azipatazo




Rapcellency Prezzo yuko nchini Marekani alikoenda kwaajili ya shughuli mbalimbali zikiwemo za One Campaign akiwa kama balozi, mchongo alioupata mwaka jana baada ya kushiriki BBA StarGame na kushika nafasi ya pili.


Jackson Makini weekend hii ameonesha ulimwengu sehemu ya matunda ya kile anachokihangaikia usiku na mchana ‘hard work’ baada ya kutweet picha akionesha tattoo aliyomaliza kuchorwa pamoja na some dollars mkononi.

Alitweet “Tattoo finished, now it’s time 2 blow this $$ like a running nose besides I work hard 4 this…#ShoppingTime”


Well, inavyoonekana shopping ya Prez himself imekamilika kama unavyoona hizo handbags za Gucci
Previous Post Next Post