Picha: Vicent Kigosi a.k.a Ray aakiwa location akishoot movie mpya ‘Chicken Head’


Vincent Kigosi aka Ray, yupo location kutengeneza mzigo mpya alioupa jina, Chicken Head.
21921fa6fdb311e28deb22000ae911d0_7
Ray akiwa na mke wake kwenye filamu hiyo
Ray ambaye ni CEO wa RJ Company inayoisimamia filamu hiyo, ameshare baadhi ya picha za behind the scenes za filamu hiyo ambayo tafsiri yake kwa Kiswahili ni ‘Kichwa cha Kuku’
76c093e2fdcf11e2996f22000a1fbc6f_7
21921fa6fdb311e28deb22000ae911d0_7
c76fbf34fdca11e28a0c22000a9d0ded_7
d470d52cfddb11e2ba6522000aaa0486_7
f533c41efdda11e2974122000a9e2969_7
f74020befdca11e2986122000a9f194c_7
Previous Post Next Post