PICHA: KANUMBA THE GREAT FILMS WAKIWA MZIGONI KUANDAA FILAMU MPYA




Kampuni ya filamu za Kibongo Kanumba The Great Films imeingia mzigoni kuandaa filamu mpya iitwayo WONDER GIRL ikiwashirikisha waigizaji mahiri wa tasnia hiyo.
 
                                 Msanii mpya Lilian Mamuya na Rammy Galis

Wasanii walicheza kwenye filamu hiyo ni pamoja na Seth Bosco ambaye ni mdogo wa marehemu Kanumba, Lilian Mamuya,Rammy Galis, Samofi, na Keita.

Kampuni ya Kanumba The Great Films kwasasa ina inaibua vipaji vipya katika tasnia ya uigizaji,na kuwatambulisha wasanii wapya na wenye vipaji na uwezo mkubwa kama vile Lilian Mamuya (kwenye picha juu) na Christina Peter.

Zakayo Magulu akisoma scrip

Pia katika movie hii kuna watoto ambao wameonesha umahiri mkubwa katika sanaa ya uigizaji hivyo inaashiria kua filamu hii ikitoka itakua gumzo la jiji.


Novatus Mayenja Productino Manager
Previous Post Next Post