Picha: Julio (BBA Startame) na Allen Mushi wa Times FM kuhudhuria fainali za BBA Leo




Mshiriki wa mwaka jana wa BBA Stargame, Julio na Allen Mushi wa Times FM wamechaguliwa kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye fainali za Big Brother Africa kesho nchini Afrika Kusini. Tazama picha na video zinazowaonesha wakiwa uwanja wa ndege leo alfajir kuelekea jijini Johannesburg.






Tazama pia video ya Allen Kasiga akiongea Hapa Chini.






Previous Post Next Post