Picha: Happy Birthday ya Young Producer in Town "Papidah Santana Monroe" .....Simple but Exclusive...




Jana Ilikuwa ni siku yakuzaliwa ya Producer Mdogo kutoka pande za kinondoni kwa jina unaweza kumwita Papida... Inawezekana Ikawa ujawahi kumskia kazi zake za aina yoyote ila ni producer mdogo mwenye uwezo  wa kufanya Kazi Standard. Jana aalikuwa annasheherekea siku yake ya kuzaliwa Ambapo Alifanyiwa Suprise Ndogo  na Familia na Hizi ni Baadhi ya Picha Ambazo niliweza kuzipiga na kushare na wewe mdau wangu wa Bongo61.

Kwani Ata wewe unaweza kutumia picha zako zikiwa ni za Party yoyoye ile nasi tutazipublish kupitia bongo61


                 
              Hii Ilikuuwa Keki Simpo aliyoandaliwa Young Procer "Papidah" katika kumpongeza na lumtakia Maisha mema.

Hapa Papida akiwa na Young Sister Lovely one...

Hapa Papida akimlisha Big Sisy Keki


Hapa Papidah akishow love na Washkaji waliokuwepo eneo la tukio wakitoa support kwa Friend...

Hapa katika Pozi

                                                               Hapa akiwa na Washkaji


Papida Akizidi kushow love katika Picha


Katika Pozi na Young Sister
Previous Post Next Post

Popular Items