Picha: Jose Chameleone atengenezewa iPhone 5 ‘customized’ yenye picha yake


Ukiwa na hela, unaweza kufanya lolote. Kila mwenye nazo anaweza kumiliki iPhone 5 lakini Jose Chameleone angependa kuwa na yake mwenyewe, ndio maana ameamua kuingia zaidi mfukoni kutengenezewa yake mwenyewe. Itazame hapa.

Previous Post Next Post

Popular Items

TIGO YAPOKEA TUZO YA UCHANGIAJI DAMU

2FACE IDIBIA : AFRICAN SUERSTAR