Lady Jaydee Leo kuachia video ya Yahaya mtandaoni



Lady Jaydee amesema leo anatarajia kuachia video ya wimbo wake, Yahaya kupitia mtandao wa Youtube.
216412_10150175224680025_7329033_n
Jide ametoa tangazo hilo kupitia Facebook:
“Leo Video ya Yahaya itapatikana kwenye account ya youtube yenye jina la JideJayDee ikiwa kwenye quality ile ile kama itakavyoonekana kwenye TV.”
Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia