‘Near field Communication’ (NFC) ni teknolojia mpya iliyowekwa katika pete ya kuvaa kidoleni na kuipa hadhi ya kuwa digital, lakini tofauti yake na pete za kawaida ni kuwa yenyewe inakazi ya ziada mbali na urembo, ina uwezo wa ku unlock simu na kufungua milango.
Pete ya NFC inauwezo wa kutunza data za 144 bytes na haihitaji bettry wala kuchajiwa, na pia haiingizi maji ‘water- resistant’.
NFC inafanya kazi kwa kuisogeza tu karibu na simu au mlango bila kugusa.
Bofya hapa kutazama video jinsi pete hiyo inavyoweza kufungua milango ya digital pamoja na ku-unlock simu.