Interview na Danny david, aongelea safari yake ya marekani na mipango yake kwenye soko la Filamu



Jana Tulibahatika kupata Interview   na mwanamitindo Danny David ambaye kwa sasa yupo kwenye training na Mkufunzi wa mitindo Shellina Ebrahim ambaye kwa ajili ya kupata mafunzo mbalimbali Zaidi ya mambo ya uanamitindo. Interview ilikuwa kama ifuatavyo:
Bongo61: Mambo, tumesikia umefanya photoshoot nyingine na kampuni ya adidas?
Danny David: Yeah, ni kweli baada ya ile ya kwanza tuliyofanya, walinipenda wakanipa deal nyingine ndo tumefanya photoshoot ya pili (Pichani).
Bongo61: Mara ya kwanza ulisema unataka kujiingiza kwenye tasnia ya Filamu? Vipi bado una mipango hiyo?




Danny David: Yap yap, napenda kufanya Filamu, for I believe there is a lot to be done kwenye hii industry, personally, ni mpenzi sana wa Filamu za kibongo, huwa naangalia sana nikiwa nyumbani kwangu. Naamini I have the potential to do better than kinachofanyika, Sisemi kuwa hawafanyi kitu ila wanaweza kufanya Zaidi ya hapa
Bongo61ajie lini kuona Filamu yako?
Danny David: Hopeful nikirudi toka safarini, natarajia kwenda Afrika ya kusini muda si mrefu kwa training Zaidi na baada ya hapo nitaenda Marekani kwa muda kidogo then nikitoka huko nitakuja hapa nifanye Filamu moja.
Bongo61: Kuna watu ushaongea nao kuhusu kutengeneza Filamu?
Danny David: Yeah, kuna waigizaji nishawatafuta, na tushakubaliana mambo ya msingi, ila siwezi kuwataja kwa sasa sababu mambo yako jikoni bado.
Bongo61: Tunashukuru kwa muda wako Danny
Danny David: Thanks a lot guys, anytime.




Previous Post Next Post