Baada ya Ajali Hemedy Suleiman "PHD" Azungumza Haya..............




Baada ya kupata ajali ya gari jana alipokuwa akimrudisha rafiki yake Gelly wa rhymes (Mwanamuziki wa bongofleva) nyumbani kupitia ukurasa wake wa mtandao kijamii mwigizaji na mwanamuziki Hemedy Suleiman amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa anaendelea vizuri licha ya ajali iliyomkuta.
Akiandika Hemedy amesema
“NAMSHUKURU MUNGU NAENDELEA VIZURI LICHA YA AJALI MBAYA ILIYONIKUTA..Ahsante kwa dua zenu..KIFUA TU NDIO KIMEUMIA SANA NA MKONO...”
Tuatakuletea Habari zingine kuhusiana na Hali ya Hemey Pindi zitakapotufikia.

Previous Post Next Post