WANYAMA ASAINI RASMI SOUTHMPTON



kenya e1d94

Kiungo wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama
wanyama 80163

KIUNGO wa kimataifa wa Kenya amesajiliwa rasmi na klabu ya Southmpton ya England akitokea klabu ya Celtic ya Scotland. (HM)
Wanyama ambaye alikuwa akiwindwa na vilabu kadhaa ikiwemo Arsenal na Liverpool, amesaini mkataba wa miaka minne kuichezea Saint iliyonusurika kushuka daraja msimu uliopita.
Ada ya uhamisho wa Wanyama ambaye anakuwa mchezaji wa kwanza kutoka Kenya kucheza kwenye EPL, haijatajwa.
Baada ya kuthibitishwa kwa dili hilo la uhamisho Wanyama alitumia ukurasa wake rasmi wa Twitter na kuandika.  

news via: Shaffihdauda
Previous Post Next Post