Filamu ya muigizaji wa kike namba moja nchini Ghana, Yvonne Nelson aliyoigiza na mwanamuziki wa Nigeria Ice Prince, House of Gold imeingia sokoni July 19.
![](http://2.bp.blogspot.com/-6eOxfn9L27w/UWgtyXoAwkI/AAAAAAAAgjc/wEKyJu2punQ/s1600/house+of+gold.jpg)
Wasanii wengine walioigiza kwenye filamu hiyo ni pamoja na TMajid Michel, Eddie Watson, Luckie Lawson, Umar Krupp na Omawumi Megbele.