Picha: Behind the Scene ya Utengenezaji wa Movie ya HOUSE OF GOLD Aliyofanya ICE PRINCE
byNews Tanzania-
0
Unaambiwa katika hii Movie Ice Prince amewavutia watu wengi kutokana na Sauti yake kusikika mara ya kwanza katika kuigiza na imewavutia watu wengi. HOUSE OF GOLD Imekuwa Online kwa Wiki kadhaa sasa na ikiwa imebeba mastaa kadhaa katika Movie Hiyo