Haya ndiyo Maoni ya Wadau Mbalimbali Yanayomuhusu Aunty Ezekiel anayeigiza Bongo Movie... Yasome Mwenyewe hapa chini...



Jana kupitia ukurasa wao wa facebook, kituo cha television cha EATV kiliuliza swali moja kwa fans wake lililouliza "Mzungumzie kwa kifupi staa wa filamu Bongo Aunty Ezekiel" na haya ndo baadhi ya maoni ya wadau mbalimbali kuhusu staa huyu anayefanya vizuri kwenye filamu za kibongo
Pume : Muonekano wake machoni ni mrembo, ila wazur wapo wengi. Tabia zao ni chafu, kuvaa mavazi ya kuonyesha maungo sio vzur. Hv haamini km kuna kiama mbona wanajisahau sana na anasa za dunia, siku ya makazi yao motoni. kila laheri afikie hadi uzee tena awe ajuza tuone maungo yake atamwonyesha nani...
Rosse : Acheni kumcomment mwenzenu vibaya ingekuwa ndo nyie mna2kanwa hvyo mngejiskiaje stupd oll kwa mlioandika ma2c f**ky kwa mlio m2kana mwenzetu.@snch
Peter : mi namwachia NEY WA MITEGO Ndo msemaji wangu..atamzungumzia
Nirah :Nampenda anajikubali na rangi yake
Phina:  ni mzur nature, hatumii mkorogo karidhika na rang yake, pia anafanya vizur ktk kaz yake ya sanaa.
Elizabeth : Jamani tukumbuke hakuna mkamilifu duniani hapa, so kumtukana mtz mwenzetu sio poa,usihukumu nawe usije ukahukumiwa.mm nampenda sana aunt ezakiel,keep on going usiskilize ya watu.
Abubakar : Hawa ni ya wahuni wanaoharibu jamii kwa kisingizio cha usanii
Hawa watu co wazuri ktk jamii ya ustaarabu
Hapo alipo yupo uchi jamii au watoto wanajifunza nini
Mwishoe taifa Zima litaona sawa kuwa uchu
Lazima tuwe na maadili
Tickey:  Mnamjua kiundani? Mmewahi kumnunua? Unamchukia mtu amae hata hajui kuna mtu kama ww. Watz mnajua sn kuchukia watu bila sababu. Dada ako co kahaba? Angekua rihana apo mngeanza...she z cute..i like her...PRETENDA WAKUBWA.
Lily :Simjui.
Beatrice:  Bonge la actress
Mwezi : bira mekapu hamna kitu hapo.kawaida sana
Abdalla Alawi Angelina Jolie wa Tz
DenXt : yuko sawa ile mbaya
Rehema :Mi nampenda mnaomwita kahaba nyin ndio mnaongoza kwa mambo hayo

Helbert:  mke nzuli........sasa anaonekana kama anaj uzatu.....ata macho yanasema story nyingi..
Grivis :Napenda kazi zake kuangalia.
Jerry : MIE NAMPENDA
Grace Peter hajawahi kukaa jikoni mama yake na kumpa namna ya kuishi ndio maana yuko hivyo.
Elisante : mh! hata cmfaham ndo nan kwan?
Opportunit :
Aunt upo juu wanao2kana ndo walewale Ndauka umeongea kwel
Tusajigwe : She real presents the tz natural beautiful ladies.
lyk u dear.
Nyabagaya:  Mavazi yake yanaboa ila ni kazi zake nzuri
Sompo : Duuuuuuu mwenzenuuuu ndoooo nimekufaaaa juuu yake kiukweliii tatizo daaaa cjawahi kufika
Betty :  Hvi hawawez kustil miil yao kutwa kuonyesha vchup ukizngatia mwil wa mwanamke mweus aka Muafrica unamvuto wa asili co vzur wanakuwa kama wanauza u2 wao
Veda :Namwombea azidi kudumu ktk kazi yake lakini wajaribu kutufundisha zaidi maadilisiyo mengineyo ktk kizazi hiki cha dot com
Juma:  Big up zt ziende kwk namtakia maixha mema.
Edward : Ajaribu kukwepana na skendo ka wema sepetu,kwani akitulia atafika mbali kisanaa
Phillipo : She is doing greate
Shosa: Anavutia, anapendeza anavyovaa vimin
Bridget : Daaaaah....ama kweli binaadam hatupendani...don't hate the playa hate the game....mumtuwe mwana Wa mwenzenu...kabla ya kutukana Dada Wa mwenzako rudisha jicho kwa wako nyumbani....Msafi..?

Wewe unamzungumziaje staa Huyu wa Bongo Movie Tanzania???
Previous Post Next Post