Picha; Shilole akiwa Nchini Marekani, Aamua Kushinda na Taulo... Bata Ndeeeefu....mtazame hapa




Katika kile kinachoonekana kuwa ni dhahiri nchi ya raisi Barack Obama- Marekani imemchanganya mwanadada wetu mbongo movie na mwimbaji Zena Mohammed almaarufu kama shilole, ameoneka akiwa katika mitaa barabarani ya mji wa Maryland alipofikia huku akiwa amejifunga taulo tuu na shughuli nyingine zikiendela.


Katika picha kadhaa alizozikweka kwenye mtandao zikiwa na maelezeo
“Hata ukitembea uchi hamna ane kuuliza” Shilole ameonekana akiwa na taulo tuu akifurahia upepo na hali ya hewa ya mitaa hiyo kitu ambacho ni nadra na hawezi kukufanya akiwa nchini Tanzania.
Shilole yuko ziarani nchini Marekani pamoja na mwigizaji Masanja mkandamizaji

Previous Post Next Post

Popular Items