Leo Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amevipa ruhusa vituo vya radio nchini humo kurusha matangazo moja kwa moja kutoka ikulu ya Nairobi.

Jaguar akiwa na Fundi Frank ikulu ya Nairobi
Miongoni mwa vituo hivyo ni pamoja na Radio Citizen ambacho kinarusha kipindi chake cha Mambo Mseto, mchana huu.

Jaguar na William Tuva wakiwasili ikulu
Mtangazaji wa kipindi hicho William Tuva atafanya mahojiano na Jaguar pamoja na wasanii wengine.

Jaguar baada ya kuruhusiwa na walinzi kuingia ikulu