Ndege iliyoombeba Rais Obama ikiondoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere baada ya Raisi huyo kumaliza ziara yake Tanzania.
Rais Obama na mkewe michelle Obama wakipunga mikono kabla ya kuanza safari
Gari lililombeba Rais Obama likielekea Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere baada ya kumaliza ziara yake.
Msafala wa Rais obama ukipita maeneo ya buguruni kuelekea uwanja wa ndege