WAKAZI KUPIGA SHOW NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA JUMAPILI HII ….

Msanii wa Hip Hop Tanzania maarufu kama Wakazi ambae anafanya vizuri sana kwenye soko la Hip Hop ameonekana kupata bahati ya kuchaguliwa kuweza kutumbuiza ndani ya Jumba la Big Brother Africa The Chace, siku ya tarehe 7 mwezi huu ambayo itakuwa ni Jumapili hii.
kupitia moja ya kurasa zake za mitandao ya kijamii wakazi ameandika from @jokatem @channeloafrica I will be Performing this Sunday the 7th on the #BigBotherTheChase Eviction Show…. AFRICA ARE YOU READY FOR THE BILINGUAL BEAST?! 
1014102_10151759377262053_238251716_n
Get ready for WAKAZI !!!
Previous Post Next Post