
Hii Ni video mpya ya mwanadada HABIDA from Kenya … Inajulikana kama LIGHTS UP … Habida ni msanii mkubwa aliyewahi pia kufanya ngoma tofauti na zikahit sana kama “SUNSHINE”aliyomshirikisha NAMELESS …
Tazama another hit video “LIGHTS UP” kutoka kwa Habida hapa chini;